The Toyota HiAce (Japanese: トヨタ・ハイエース, Toyota Haiēsu) (pronounced as "High Ace") is a light commercial van produced by the Japanese automobile manufacturer Toyota. First launched in October 1967, the HiAce has since been available in a wide range of body configurations, including a minivan/MPV, minibus, panel van, crew van, pickup truck, taxi and an ambulance. In Japan, the HiAce is exclusive to Toyopet Store locations.
Watu 13 wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa kufuatia ajali ya basi dogo la abiria aina ya Toyota Hiace lililokuwa likitokea Somanga kuelekea Kilwa Mkoani Lindi kugongana uso kwa uso na lori la mafuta leo April 22,2024 katika Kijiji cha Somanga.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi...
"Tunaanza mkutano na wadau kuwaelimisha watu wa bodaboda na bajaji na kupanga vituo,lakini pia wenzetu wa daladala ndogo (Hiace) muda wao kati kati ya Jiji umeisha”
“Tunahitaji wawekezaji wa mabasi makubwa ,mabasi ambayo yanatakiwa yawe zero kilomita lakini pia yawe branded ili yawe na sifa ya...
Kwanini wameamua kuharibu hii gari? Taarifa nilizonazo ni kwamba hiyo gari ilikuwa nzima kabisa na ilikuwa imepaki takribani mita 50 kutoka hapo iliponasa.
Yaani mtu kapata hasara ya injini halafu nyie mnakuja kumuongezea hasara ya bodi?
Kweli hii gari ingekuwa ya mwanajeshi au polisi...
Watu wanne wamefariki na wengine 21 kujeruhiwa baada ya gari dogo la abiria aina ya hiece lenye usajili namba T339 DBV lililokuwa lilitoka Izibya kwenda Bukoba mjini mkoani Kagera kupata ajali eneo la Kyetema.
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Kagera ACP Brasius Chatanda amesema kuwa ajali...
Gari, tunatoka mbezi Gari inasukumwa mpaka round about ili iwake, Gari tumefika karibu na kwa Komba imepasuka Tairi. Konda hataki kurudisha nauli Ajali ikitokea tutamtafuta mchawi nani?
Kemea ajali
Nina nissan caravan yangu. Super roof.
Sina muda wa kusimamia kwa hapa dar.
Nahitaji wa kuingia mkataba awe na shughuli binafs kama shule au supllies kwa humu humu jijini. Dereva ni wake. Nahitaji fixed 50k day
Ipo gari aina ya Toyota hiace inauzwa kwa bei ya 22M na laki 3 maongezi yapo gari ipo katika hali nzima kabisa...Full a/c
Pia gari inapatikana Dar es salaam kuja na fundi hukatazwi karibu sana ndugu mteja.
Mawasiliano
0718982463.
KARIBU AUTOMASI UAGIZE NASI GARI LENYE UBORA KWA GHARAMA NAFUU
**************
♻️ High Quality , Reliable, and Speed ♻️
***************
🔅VEHICLE DESCRIPTION
Make : TOYOTA
Model ...
bank of tanzania
bmw
canter
dodoma jiji
dualis
gari
hiace
honda
japan
kuagiza
kuagiza gari
landcruiser
mitsubishi
mkopo
music producers
nissan
nissan dualis
premio
series
starlet
subaru
subaru forester
toyota
toyota premio
van
vitz
Watu 20 wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha magari matatu na Trekta katika eneo la Mwakata barabara ya Isaka Kahama mkoani Shinyanga.
Mashuhuda wa ajali hiyo wamesema ajali hiyo imetokea majira ya saa nne usiku Jumatatu Agosti 8,2022 ikihusisha gari ndogo IST...
Ni usiku (saa nne) wa kuamkia leo Agosti 9, 2022.
Gari ndogo IST inatokea Kahama, inaelekea Tinde. ikaparamia trekta lililokua mbele limejaza kuni halafu halina taa za nyuma wala reflector. Watu watatu wakafa kwenye IST!
Dereva wa Trekta akakimbia!
Wakati uokoaji unaendelea, ikaja Hiace iko...
Hiace inauzwa milion 17 njoo na fundi wako ukague Engine 3L standard ipo katika hali nzuri inafanya kazi. Gari bado ipo kwenye hali nzuri. Kwa mawasiliano zaidi na maulizo piga 0735266326. Haina udalali kila kitu kipo safi.
0735266326
Salam Salam wapigania Uchumi.
Nina Toyota hiace(dungu) ipo Tanga mjini. Nafikiria niisajili ifanye moja Kati ya kazi (routes) zifuatazo;
1. Kufanya town route(daladala)
2. Kufanya routes za nje kidogo ya mji..at least umbali usiozidi 70km.
3. Kufanya routes za mbali zaidi ya 70km.
4. Nyinginezo...
Nauza gari, ni min bus yenye usajili wa number C. Aina ya LDV convoy. Gari ipo mwanza kwimba. Linahitaji marekebisho kadhaa na halijatumika muda mrefu. Bei ni 4.7M (mazungumzo yapo).
Kwa mawasiliano na maswali zaidi piga 0769917961. Asante
YAH: CHANGAMOTO YA KUONGEZEWA GHARAMA ZA KAZI YETU ZA KUBEBA ABIRIA KUTOKA OFISI YA MKURUGENZI YA MANISPAA YA SUMBAWANGA
Mh. Waziri Mkuu,
Sisi ni madreva tunaoendesha magari madogo ya abiria maalum kama Hiace yanayofanya safari kuanzia Sumbawanga kwenda wilaya za Mkoa wa Rukwa ambayo ni...
Nipo Arusha, yaani hivi vi-hiace katikati ya mji ni uchafu na usumbufu katika zama hizi za wingi wa magari.
Vinasababisha usumbufu, vinasimama popote ni vingi na kero.
Uongozi wa Halmashauri ya jiji Arusha hebu igeni majiji mengine ya Tanzania kama Mbeya na Dar walishaachana na vigari aina ya...
Wakuu habari,
Najaribu kufikiria haswa sababu iliyopelekea serikali kupiga marufuku hiace na kuruhusu bajaji.
Kwa tathimini ya haraka haraka bajaji ndio chanzo kikuu cha foleni.
Mfano: bajaji moja inabeba watu watatu kwenye kituo cha bus zikikaa bajaji nne ambapo ratio yake jumla ni watu 12...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.