hiace

The Toyota HiAce (Japanese: トヨタ・ハイエース, Toyota Haiēsu) (pronounced as "High Ace") is a light commercial van produced by the Japanese automobile manufacturer Toyota. First launched in October 1967, the HiAce has since been available in a wide range of body configurations, including a minivan/MPV, minibus, panel van, crew van, pickup truck, taxi and an ambulance. In Japan, the HiAce is exclusive to Toyopet Store locations.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    Car4Sale Hiace inauzwa, maongezi yapo

    Hiace Inauzwa milioni 30 ( Maongezi Yapo ) Piga : 0614502969
  2. Lindi: 13 wafariki katika ajali kati ya Coaster na Lori

    Watu 13 wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa kufuatia ajali ya basi dogo la abiria aina ya Toyota Hiace lililokuwa likitokea Somanga kuelekea Kilwa Mkoani Lindi kugongana uso kwa uso na lori la mafuta leo April 22,2024 katika Kijiji cha Somanga. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi...
  3. Kuelekea AFCON 2027, hiace zote kupigwa marufuku Arusha

    "Tunaanza mkutano na wadau kuwaelimisha watu wa bodaboda na bajaji na kupanga vituo,lakini pia wenzetu wa daladala ndogo (Hiace) muda wao kati kati ya Jiji umeisha” “Tunahitaji wawekezaji wa mabasi makubwa ,mabasi ambayo yanatakiwa yawe zero kilomita lakini pia yawe branded ili yawe na sifa ya...
  4. Car4Sale Toyota Hiace inauzwa 10M tu

    Nauza Toyota Hiace inapiga Daladala Mwanza, bei milioni 10 tu, maongezi yapo. Mawasiliano 0753311398
  5. Hawa wanajeshi wa uokoaji walipe fidia kwa kuharibu hii hiace pale Katesh

    Kwanini wameamua kuharibu hii gari? Taarifa nilizonazo ni kwamba hiyo gari ilikuwa nzima kabisa na ilikuwa imepaki takribani mita 50 kutoka hapo iliponasa. Yaani mtu kapata hasara ya injini halafu nyie mnakuja kumuongezea hasara ya bodi? Kweli hii gari ingekuwa ya mwanajeshi au polisi...
  6. Wanne wafariki dunia ajali ya Hiace

    Watu wanne wamefariki na wengine 21 kujeruhiwa baada ya gari dogo la abiria aina ya hiece lenye usajili namba T339 DBV lililokuwa lilitoka Izibya kwenda Bukoba mjini mkoani Kagera kupata ajali eneo la Kyetema. Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Kagera ACP Brasius Chatanda amesema kuwa ajali...
  7. Gari Hiace namba T936 AJU ya ruti ya Mbezi - Boko Mnemela iondolewe barabarani

    Gari, tunatoka mbezi Gari inasukumwa mpaka round about ili iwake, Gari tumefika karibu na kwa Komba imepasuka Tairi. Konda hataki kurudisha nauli Ajali ikitokea tutamtafuta mchawi nani? Kemea ajali
  8. Anayehitaji kutumia hiace dungu kimkataba at fixed 50k @day

    Nina nissan caravan yangu. Super roof. Sina muda wa kusimamia kwa hapa dar. Nahitaji wa kuingia mkataba awe na shughuli binafs kama shule au supllies kwa humu humu jijini. Dereva ni wake. Nahitaji fixed 50k day
  9. Naomba kujua ubora na udhaifu wa gari za Toyota town hiace au panya buku

    Wana jf nataka ninunue hii gari naomba kuijua A-Z ubora wake madhaifu yake na bei zake. Asanteni.
  10. Car4Sale Toyota hiace inauzwa

    Ipo gari aina ya Toyota hiace inauzwa kwa bei ya 22M na laki 3 maongezi yapo gari ipo katika hali nzima kabisa...Full a/c Pia gari inapatikana Dar es salaam kuja na fundi hukatazwi karibu sana ndugu mteja. Mawasiliano 0718982463.
  11. Car4Sale Karibu automasi uagize nasi gari lenye ubora kwa gharama nafuu

    KARIBU AUTOMASI UAGIZE NASI GARI LENYE UBORA KWA GHARAMA NAFUU ************** ♻️ High Quality , Reliable, and Speed ♻️ *************** 🔅VEHICLE DESCRIPTION Make : TOYOTA Model ...
  12. TANZIA Mwakata, Shinyanga: Ajali ya magari matatu 'Lori, IST, Hiace' na Trekta yadaiwa Watu 20 wamefariki, 15 wajeruhiwa (Agosti 8, 2022)

    Watu 20 wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha magari matatu na Trekta katika eneo la Mwakata barabara ya Isaka Kahama mkoani Shinyanga. Mashuhuda wa ajali hiyo wamesema ajali hiyo imetokea majira ya saa nne usiku Jumatatu Agosti 8,2022 ikihusisha gari ndogo IST...
  13. TANZIA Kahama: Watu 19 wafariki dunia kwenye ajali inayohusisha trekta, hiace na lorry!

    Ni usiku (saa nne) wa kuamkia leo Agosti 9, 2022. Gari ndogo IST inatokea Kahama, inaelekea Tinde. ikaparamia trekta lililokua mbele limejaza kuni halafu halina taa za nyuma wala reflector. Watu watatu wakafa kwenye IST! Dereva wa Trekta akakimbia! Wakati uokoaji unaendelea, ikaja Hiace iko...
  14. C

    Car4Sale Hiace ya abiria inauzwa

    Hiace inauzwa milion 17 njoo na fundi wako ukague Engine 3L standard ipo katika hali nzuri inafanya kazi. Gari bado ipo kwenye hali nzuri. Kwa mawasiliano zaidi na maulizo piga 0735266326. Haina udalali kila kitu kipo safi. 0735266326
  15. W

    Biashara ipi itafaa zaidi kwa Toyota hiace? Tanga city

    Salam Salam wapigania Uchumi. Nina Toyota hiace(dungu) ipo Tanga mjini. Nafikiria niisajili ifanye moja Kati ya kazi (routes) zifuatazo; 1. Kufanya town route(daladala) 2. Kufanya routes za nje kidogo ya mji..at least umbali usiozidi 70km. 3. Kufanya routes za mbali zaidi ya 70km. 4. Nyinginezo...
  16. Car4Sale Nauza gari min bus ldv convoy

    Nauza gari, ni min bus yenye usajili wa number C. Aina ya LDV convoy. Gari ipo mwanza kwimba. Linahitaji marekebisho kadhaa na halijatumika muda mrefu. Bei ni 4.7M (mazungumzo yapo). Kwa mawasiliano na maswali zaidi piga 0769917961. Asante
  17. D

    Barua ya wazi kwa Waziri Mkuu Majaliwa, kutoka kwa baadhi ya madereva wa Hiace Sumbawanga

    YAH: CHANGAMOTO YA KUONGEZEWA GHARAMA ZA KAZI YETU ZA KUBEBA ABIRIA KUTOKA OFISI YA MKURUGENZI YA MANISPAA YA SUMBAWANGA Mh. Waziri Mkuu, Sisi ni madreva tunaoendesha magari madogo ya abiria maalum kama Hiace yanayofanya safari kuanzia Sumbawanga kwenda wilaya za Mkoa wa Rukwa ambayo ni...
  18. Arusha hivi "vifodi" ni kuchafua jiji achaneni navyo

    Nipo Arusha, yaani hivi vi-hiace katikati ya mji ni uchafu na usumbufu katika zama hizi za wingi wa magari. Vinasababisha usumbufu, vinasimama popote ni vingi na kero. Uongozi wa Halmashauri ya jiji Arusha hebu igeni majiji mengine ya Tanzania kama Mbeya na Dar walishaachana na vigari aina ya...
  19. Serikali iliwaza nini kuondoa Hiace na kuruhusu Bajaji?

    Wakuu habari, Najaribu kufikiria haswa sababu iliyopelekea serikali kupiga marufuku hiace na kuruhusu bajaji. Kwa tathimini ya haraka haraka bajaji ndio chanzo kikuu cha foleni. Mfano: bajaji moja inabeba watu watatu kwenye kituo cha bus zikikaa bajaji nne ambapo ratio yake jumla ni watu 12...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…