Wakuu hee!
Leo tujikumbushe kidogo aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi hapa alikuwa bungeni akieleza kuwa amewahi kuvunja ukuta wa marehemu baba yake kwa sababu ya kuwa kwenye eneo la hifadhi ya barabara.
Ewe Waziri wa Ardhi, Halmashauri, Tanroads na tarura.
Tunaomba sana watu wote wanaojenga ovyo magenge mitaani, vibanda vya mkaa na wale waliojenga road reserve hata kama ni wakubwa wabomolewe haraka.
Sehemu za kupita zimekuwa finyu. Fujo na uswahili umezidi. Piteni mitaa yote Dar mvunje hivi...
Ukistaajabu ya Musa,
Katika hali ya kushangaza sana kuna kituo kipya cha mafuta kinajengwa kando ya barabara maeneo ya Stop over Kimara. Hii imekuja baada ya vituo vingine vyote kufungwa kwa sababu ileile ya kuwa vipo ndani ya hifadhi ya barabara, ila cha ajabu hiki kituo kipya kinachoitwa...
Eneo la Vijibweni kumeongezeka migogoro ya ardhi kwa kuwa mwenyekiti wa Serikali anauza maeneo ya hifadhi ya barabara akishirikiana na kikundi cha wajanja.
Na kumekuwa na malalamiko mengi juu ya huyo Mwenyekiti wa Serikali ya Mitaa na kila anapofuatwa yeye hukimbia ofisi na kutokomea mara kwa...
Anonymous
Thread
hifadhiyabarabara
migogoro ya ardhi kigamboni
migogoro ya ardhi vijibweni
Habari zenu wadau
Naomba Msaada wa ushauri au maoni kuhusu jambo hili.
Ikiwa umenunua kiwanja maeneo ya kando ya mji, ukajenga nyumba na eneo lingine likabaki, majirani walipoanza kuongezeka wakaomba kutumia eneo lile kama njia ya miguu, mwisho ikawa njia kuu ya wao na magari ya kuingia...
Unapotokea mjini kwenda Mbezi, ukiwa eneo la KIMARA STOP OVER, kuna kituo cha mafuta kinachoitwa RUPIA.
Wakati wa Serikali ya awamu ya 5 nyumba nyingi na vituo vingi vya mafuta vilibomolewa ili kupisha ujenzi wa barabara.
Mara tu Serikali ya awamu ya Sita ilipoingia tulishangaa kuona kituo kile...
Anonymous
Thread
hifadhiyabarabara
kituo
kituo cha mafuta
kituo cha mafuta hifadhiyabarabara
mafuta
morogoro
morogoro road
ujenzi wa kituo cha mafuta
JamiiForums iliwatafuta TANROADS ili kupata ufafanuzi kuhusu tuhuma za wao kuruhusu ujenzi kwenye maeneo ya hifadhi ya barabara ambayo wanakuwa wamezuia mwanzo kisha baada ya watu kuwafata na kuzungumza nao huwapa kibali cha kuendelea na ujenzi.
Ms. Zafarani Madayi Meneja wa Mazingira TANROADS...
Wakubwa,
Hivi vibao vya shule na taasisi nyingine za serikali vilivyoko kwenye hifadhi ya barabara(road reserve) huwa vipo kisheria ama vipi
Nimeuliza hivyo maana kuna mdogo wangu kagonga kibao cha shule ambacho kiko ndani ya hifadhi ya barabara na naona kuna mwalimu mkuu anajitia kimbelembele
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla ameingia Kariakoo kwa kutumia basi la Mwendokasi (haijulikani alikotokea) na kutoa Maagizo kwamba baada ya siku 7 njia zote za watembea kwa miguu kwenye eneo hilo ambazo zimejaa wamachinga, mama lishe, wachoma mihogo na wauza Alikasusi ziwe wazi...
Pamoja na kuwa Barabara ya Ubungo—Kimara (stop over) zimepigwa X jioni hii hadi usiku huu. Wananchi wamepewa siku 30 waondoke kupisha upanuzi wa barabara.
Pia kuanzia Kimara Bucha mpaka Kimara resort wamepewa Notisi ya kobomoa na kuvacate kwa walio ndani ya Mita 90 za hifadhi ya barabara kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.