Habari zenu wadau
Naomba Msaada wa ushauri au maoni kuhusu jambo hili.
Ikiwa umenunua kiwanja maeneo ya kando ya mji, ukajenga nyumba na eneo lingine likabaki, majirani walipoanza kuongezeka wakaomba kutumia eneo lile kama njia ya miguu, mwisho ikawa njia kuu ya wao na magari ya kuingia...