Kuna baadhi ya Nchi mwaka huu zimeendelea kufanya kama zinavyofanya miaka yote.
Usalama wa chakula muhimu sana, wafanyabiashara wa hizo nchi wamepewa mabilioni ya pesa na tayari wamemwagika mashambani Tanzania na kuanza kununua mazao kwa kasi ya ajabu sana .
Mpunga na mahindi mwaka huu...