Kuwahamisha wananchi wa jamii ya Kimasai katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro ni suala lenye uzito wake kwa taifa linaloweka maslahi mapana ya utunzaji wa mazingira. Baadhi ya sababu ni kama ifuatavyo:-
Uhifadhi wa Mazingira, Serikali inawahamisha wananchi kwa lengo la kuhifadhi mifumo ya...
My Take
Naunga mkono hoja,hakuna excuses ya sijui Ardhi yetu sijui ya nani? Lazima Hifadhi Ilindwe.https://radiotadio.co.tz/loliondofm/2024/05/07/453/
==
Katika jitihada za serikali za kuhakikisha eneo la hifadhi ya Ngorongoro libaki wazi kupisha shughuli za uhifadhi,mamlaka ya hifadhi hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.