Kama mnavyojua nchi yetu ina vivutio vingi sana na jamii zimeishi karibu na au kwenye maeneo hayo tangu kale, kero kubwa imekuwa ni kwa askari game ranger, wamisitu na vivutio lakini nahofia huko mbele tutaondolewa kabisa.
Wamasai wametumika kama jaribio.
Ni kweli tumesikia huduma zimerejeshwa...
Hawa wanaweza kuwa ndio wale wafadhili wa Royol tour ambao tulifichwa , sasa wanapewa mapande ya aridhi, na wana binasifisha, fikiria Mzungu ana binasifisha Aridhi ya Umma.
======
Tanzania ni nyumbani kwa moja ya hifadhi bora za wanyama barani Afrika, ambayo inafanya iwe sehemu ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.