hifadhi za taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pata uelewa kuhusu hifadhi za Taifa za Tanzania

    Hifadhi za taifa za Tanzania ni hazina ya asili na utamaduni ambazo zinatoa fursa nyingi za utalii. Kila hifadhi ina uzuri wake wa kipekee, ikiwa na mazingira tofauti, wanyama wa porini, na tamaduni tofauti za wenyeji. Tembelea Tanzania na uone vivutio vyake vya ajabu! Katika hifadhi kama...
  2. TANAPA yapokea mitambo na malori kuboresha miundombinu ya hifadhi za taifa Serengeti na Nyerere zenye thamani ya bil.6.4

    Dar es salaam Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) amewakabidhi TANAPA Malori matano na mitambo mitano yenye thamani ya Dola milioni 2.4 sawa na shilingi Bilioni 6.4 za Kitanzania, tukio hilo limefanyika leo Disemba 2, 2024 katika Ukumbi wa Wakala wa Huduma za Misitu...
  3. S

    SoC04 Rasilimali nje ya hifadhi za taifa

    Taifa letu linahifadhi kubwa na vivutio vingi sana vya utarii,, lakini hii imekuwa ikizingatiwa kwa maeneno yaliyotengwa kwa ajili ya shughuli hiyo ya kuingiza kipato cha taifa,, na kufanyiwa usimamizi stahiki,, lakini licha ya hayo je, serikali inamtazamo gani juu ya mtazamo WA rasilimali nje...
  4. M

    Kama taifa tufanyeje kudhibiti hii vita ya kimyakimya inayoendelea kwenye hifadhi za taifa kati ya wananchi, majangili na askari wanyamapori?

    Sijui ni bahati mbaya au nzuri ni kuwa kuna habari nyingi za kutisha sana zinatokea huko kwenye hifadhi za taifa kati ya wananchi na askari ila hazifiki kwenye vyombo vya habari. Tukiachilia mbali mauaji pia wanaokamatwa hifadhini hupewa kipigo kitakatifu kabla ya kufikishwa mahakamani. Yaani...
  5. SoC04 Teknolojia ya vitambuzi mwendo kutatua changamoto za uvamizi wa Wanyamapori katika makazi pembezoni mwa Hifadhi za Taifa

    Tanzania imebarikiwa kwa kuwa na hifadhi nyingi za taifa, hifadhi hizi zikiwa chini ya mgawanyiko wa: Hifadhi za taifa, hifadhi teule,hifadhi za mawindo na mapori ya akiba. Ramani ya hifadhi za Taifa Tanzania Picha toka mtandaoni Wikipedia Mfano wa hifadhi hizi ni Serengeti, Mikumi, Saadani...
  6. Rais Kikwete amteua Alan Kijazi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa (TANAPA)

    Friday, May 27, 2011 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII TAARIFA KWA UMMA UTEUZI WA MKURUGENZI MKUU WA TANAPA Rais Jakaya Kikwete Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Alan Kijazi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa (TANAPA). Bwana Kijazi anachukua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…