Huwa tunaambiwa:
Wataalamu wamefanikiwa kuondoa ndui (smallpox) duniani kutokana na dungadunga.
Je, kuna ukweli wowote?
Asilimia zaidi ya 95 ya wanadamu watakwambia NI KWELI. Ukiwaambia NI UONGO utatukanwa, utabezwa, unaweza hata kupigwa mawe, au kufanyiwa chochote kibaya MAANA HUNA AKILI WEWE...