hilda newton

Dame Hilda Mabel Stevenson (née McKay; 1893–1987) was an Australian philanthropist and community worker. She was the daughter of Hugh Victor McKay, a combine harvester inventor. She was the trustee and founder of the Sunshine Foundation.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Hilda Newton: Nimepokea taarifa kuwa Mohamed Issa amefikishwa Mahakama ya Uhujumu Uchumi

    Kutoka account ya X ya Hilda Newton: Nimepokea taarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa Bavicha Taifa Wakili Advocate Mahinyula Anasema kwamba leo Mohamed Issa amefikishwa Mahakama ya Uhujumu Uchumi upande wa Jamhuri wakasema kwamba hawana nia ya kuelendele kesi hivyo Mohamed akaachiwa lakini cha...
  2. E

    Hivi Hilda Newton ni nani pale CHADEMA?

    Ni swali la ufahamu, nimehisi ana siri nyingi sana pale CHADEMA na aliwahi kutupa taarifa za Ben kuwa anaendelea na kazi
  3. Waufukweni

    John Mnyika aitwa Polisi kwa uchunguzi mauaji ya Ally Mohamed Kibao

    Jeshi la Polisi Tanzania limemuita Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika kufika katika Ofisi ya Upelelezi wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kwa ajili ya mahojiano kuhusiana na mauaji ya Ally Mohamed Kibao. Kulingana na barua rasmi iliyotolewa tarehe 16 Septemba...
  4. kipara kipya

    Msigwa alalamikiwa kuwalamba block CHADEMA wenzake

    Msigwa kaamua kujitenga na uanaharakati
  5. N

    Kama CHADEMA ya sasa ndio ina vijana wa namna hii basi kazi ipo!

    Mwanasiasiasa nguli na muhimu sana ndani ya Bavicha, Hilda Newton anaomba ajibiwe swali lake, hakika CHADEMA ina watu smart sana
  6. OKW BOBAN SUNZU

    HBD Hilda Newton roho ya paka

    Mfupi wa kimo ila mrefu wa akili
  7. Erythrocyte

    Kiongozi wa BAVICHA Iringa, Vitus Nkuna aitwa ofisi ya RC kwa mahojiano

    Katibu wa Bavicha Iringa Vitus Nkuna leo ameitwa ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa ili ahojiwe , tambua kwamba RC wa Iringa anaitwa Queen Sendiga . Bila shaka Mahojiano hayo yanahusiana na kauli yake ya kizalendo kutokana na kuzidiwa kwa Mkoa wa Shinyanga na wagonjwa wa Corona huku kukiwa...
  8. Shujaa Mwendazake

    Sakata la maslahi ya Wabunge na hekaya ya Hilda Newton

    Habari wanabodi, Kumekuwa na trend ya muda kuhusu sakata lililoibuliwa na Mh Nicodemas Henry Maganga mbunge wa Mbongwe kuwa maslahi yao ni madogo kuliko inavyodhaniwa. Katika kuutanabaisha huu mjadala ulioleta hasira toka kwa wapiga kura. Nimekutana na kasimulizi toka kwa Hilda Newton juu ya...
Back
Top Bottom