Huwezi kuamini, hivyo visilaha vimefanya kazi ya ajabu sana kulichakaza jeshi la pili Kwa ubora ulimwenguni ( Russian Army).
Vimeundwa Kwa gharama ndogo sana ila Kwa tech ya juu sana. Wote tulishuhudia ule msafara wa km 65 Kiev mwezi pili na tatu ukiyeyushwa kama theruji. Adui akabili mbinu...