Hizi ndiyo kampuni 5 bora (zilizo orodheshwa katika Soko la hisa DSE) zilizo fanya vizuri kwa mwaka 2022...
5.TCC - Tanzania cigarette company
Iliweza kujipatia faida ya tsh.billion 69,ambazo imeisaidia kuwa Earning per share ya pili kwa ukubwa.
Lakini pia imeongoza kwa uwekezaji wa faida yake...