Soko la hisa la Dar es Salaam lina makampuni 26 yaliyo jiorodhesha. Katika hayo kuna makampuni yanayofanya vibaya na yale yanayo chechemea.
Tuangalie orodha ya makampuni yaliyo na hali mbaya na uchukue tahadhari kabla ya kuwekeza.
JATU
Hili lina husika na cloud farming. Naliweka kwenye orodha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.