Wizara ya Elimu imelitataja somo la Hisabati kama ni Janga la Taifa
Tuanzie hapa, najua kuna wakali wa hesabu humu Jamii Forum
Tuanzie hapa kutoa msaada wa bure(Tuisheni) ya Hisabati kwa wanafunzi wanaohitaji
Kwa wakali wa hisabati: Tupia topic za hesabu na mafundisho yake, pia tafadhali...