Pamoja na matokeo ya kidato cha 4 kuongezeka ufaulu, kidato cha 2 na darasa la 4 kwa mujibu wa taarifa/ripoti ya Baraza la Elimu Tanzania limesema kuwa bado ufaulu wa Somo la Hisabati uko chini sana.
Nimekuwa nikijiuliza sana tatizo ni nini lkn majibu yamekuwa yalitolewa na wadau wa elimu ni...