hisia wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abdulazizi issa

    Baadhi ya vyanzo vilivyo sababisha kuondoka kwa furaha ya wanaume

    Baadhi ya vyanzo vilivyo sababisha kuondoka kwa furaha ya wanaume wengi na kupelekea kushindwa kujiamini kabisa 𝗣𝗨𝗡𝗬𝗘𝗧𝗢; Mwanaume anapopiga punyeto anaiminya mishipa ambayo inasababisha kusimama kwa uume, Hivyo baada ya muda fulani mishipa hiyo huishiwa nguvu na kulegea na kushindwa kuruhusu...
  2. Black Opal

    Wanaume huwa tunasema hatuongozwi na hisia tunafata logic, sasa hasira na maumivu kwenye mapenzi yanatoka wapi?

    Huu ni wimbo wetu wanaume, kwamba sisi hatuongozwi na hisia, kwenye kuangalia kitu na kufanya maamuzi tunafata logic na kuwaambia wanawake ni viumbe wanaoongozwa na hisia. Sasa hasira na maumivu kwenye mapenzi yanatoka wapi? Maumivu hayo si ni matokeo ya hisia? Pisi kali ikikupiga tukio...
Back
Top Bottom