hisia za binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ujasiri siyo kufanya jambo bila hofu: Rekebisha uhalisia wako

    Moja ya jambo nililojifunza katika miongo kadhaa niliyojaliwa katika maisha yangu ni kuelewa kuwa Dunia imejawa na watu wengi waoga na ujasiri siyo kufanya jambo bila woga au hofu ila ni kuendelea kufanya jambo licha ya uwepo wa hofu na mashaka. Kwa maana nyingine mtu jasiri haimaanishi...
  2. Jinsi utakavyoiangalia dunia itategemea na hisia ulizo nazo

    Wote tunaishi dunia hii, lakini kwa namna gani tutaiangalia sayari yetu ya dunia, itategemeana na hisia au feelings tulizo nazo katika wakati husika. Iko hivi, ukiwa na hisia hasi au kuwa na hasira au huzuni, hakika utaiangalia dunia katika namna mbaya sana,mtu kama huyu atalaumu kila kitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…