Kiukweli haya ni mambo ambayo hatuwezi yaweka hadharani maana ni kufru lakini kwa hapa jamiiforums hakuna anaemjua mwenzake kuna privacy hivyo uhuru wa kutiririka siro zetu upo.
Niliwahi kuwa na feelings na mtoto wa mamamdogo wangu ambae niliishi nae miezi miwili akiwa likizo ya form 6...
Habari.
Mimi na mpenzi wangu tumekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitano kama boyfriend na girlfriend (sio uchumba).
Nikiri kwamba tumekuwa na kutokuelewana kama ilivyo kawaida ya mahusiano lakini tupo vizuri kuhakikisha tatizo lolote linatatuliwa kwa wakati na kuhakikisha mawasiliano...
Katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia inasadikika hakuna kitu ambacho kina nguvu sana kama mahusiano ya mapenzi, hata hivyo kutokana na nguvu hiyo ya mahusino, watu wengi hufikiri mwanaume ndio ambao wanaathiriwa kwa kiwango kikubwa na nguvu hiyo.
Watafiti wa masuala ya mahusiano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.