Madeni na changamoto za kifedha vinaweza kuathiri afya ya mwili kwa njia nyingi, ikiwemo afya ya Uzazi wa Mwanamke.
Wakati mtu anakabiliwa na Msongo wa Mawazo kutokana na hali ngumu ya kifedha, mwili hutoa homoni za Stress (Cortisol) kwa wingi ambayo huathiri uzalishaji wa Homoni za Kike yaani...
Mwanaume au mwanamke wako anapokufanyia vituko vya kushangaza, kama ku-mute simu akilala au kubadilisha password mara kwa mara, unajua kuna mambo. Hivi unadhani ni sawa kuingia kwenye mahusiano ya kutomwamini mtu? Au kuna uwezekano kwamba huyu mtu wako ni mdumilakuwili? Karibu hapa tujadili...
Nianze na Wanaume:
Mfumo wa hisia za mapenzi na mchakato wa kusimama kwa uume ni mchakato changamani ambao unahusisha miitikio ya kihisia, kiakili, na ya kimwili. Yafuatayo ni maelezo ya hatua mbalimbali zinazopelekea kusimama kwa uume hadi kufanikisha tendo la ngono:
1. Kuvutiwa Kihisia...
Kila mara ninapofikiria kuhusu wewe, moyo wangu hujaa furaha isiyopimika na shukrani isiyo na mwisho. Wewe ni zawadi bora zaidi ambayo maisha yamenipa, na uwepo wako umeleta mwanga na matumaini ambayo sikuweza hata kuwazia hapo awali. Kama jua linavyopambazua siku, ndivyo upendo wako...
Licha ya kuwa wivu una hasara nyingi, lakini pia miongoni mwa faida za wivu ni kuchochea hisia, hamasa, nguvu na hamu zaidi ya kimapenzi..
Fikra, mawazo, nguvu, akili na uwezo wote wa muhusika huhamia kwenye mapenzi.. Kule kujiamini na ubinafsi anaokuwa nao muhusika dhidi ya anae mzengeazengea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.