hisia za mapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Madeni ni chanzo cha uke mkavu na Kukosa hisia za Mapenzi. Wanandoa epukeni Madeni

    Madeni na changamoto za kifedha vinaweza kuathiri afya ya mwili kwa njia nyingi, ikiwemo afya ya Uzazi wa Mwanamke. Wakati mtu anakabiliwa na Msongo wa Mawazo kutokana na hali ngumu ya kifedha, mwili hutoa homoni za Stress (Cortisol) kwa wingi ambayo huathiri uzalishaji wa Homoni za Kike yaani...
  2. Usikute Yeye Ni Ndumilakuwili: Mapenzi ya Kijanja au Kuingizwa Chaka?

    Mwanaume au mwanamke wako anapokufanyia vituko vya kushangaza, kama ku-mute simu akilala au kubadilisha password mara kwa mara, unajua kuna mambo. Hivi unadhani ni sawa kuingia kwenye mahusiano ya kutomwamini mtu? Au kuna uwezekano kwamba huyu mtu wako ni mdumilakuwili? Karibu hapa tujadili...
  3. Tatizo la kukosa hisia/msisimko wa Mapenzi.

    Nianze na Wanaume: Mfumo wa hisia za mapenzi na mchakato wa kusimama kwa uume ni mchakato changamani ambao unahusisha miitikio ya kihisia, kiakili, na ya kimwili. Yafuatayo ni maelezo ya hatua mbalimbali zinazopelekea kusimama kwa uume hadi kufanikisha tendo la ngono: 1. Kuvutiwa Kihisia...
  4. Barua ya wazi kwako nikupendaye

    Kila mara ninapofikiria kuhusu wewe, moyo wangu hujaa furaha isiyopimika na shukrani isiyo na mwisho. Wewe ni zawadi bora zaidi ambayo maisha yamenipa, na uwepo wako umeleta mwanga na matumaini ambayo sikuweza hata kuwazia hapo awali. Kama jua linavyopambazua siku, ndivyo upendo wako...
  5. Wivu unachochea kuongezeka hisia za mapenzi na nguvu za kijinsia

    Licha ya kuwa wivu una hasara nyingi, lakini pia miongoni mwa faida za wivu ni kuchochea hisia, hamasa, nguvu na hamu zaidi ya kimapenzi.. Fikra, mawazo, nguvu, akili na uwezo wote wa muhusika huhamia kwenye mapenzi.. Kule kujiamini na ubinafsi anaokuwa nao muhusika dhidi ya anae mzengeazengea...
  6. M

    Mtu wangu wa karibu hana hisia, yaani hana vichocheo vya kufanya mapenzi. Anawezaje kuondokana na tatizo hili?

    Mtu wangu wa karibu hana hisia means hana vichocheo vya kufanya mapenzi. Tunawezaje kumsaidia mtu huyu kwa matibabu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…