Wakuu salam,
Nimekuwa tu interested na hili baada ya kufanya maongezi na jamaa yangu fulani ndio ikaclick kuwa hili ni kweli, kwenye wasifu na historia ya Rais Samia inaanza alizaliwa wapi, aliposoma na alikopita mpaka kufikia Rais lakini siyo nyuma ya hapo kama ilivyokuwa kwa viongozi wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.