historia rais samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwenye Wasifu wa Rais Samia sijawahi kukutana na taarifa za wazazi wake. Je, ni watu wa aina gani? Nao walijihusisha na Siasa?

    Wakuu salam, Nimekuwa tu interested na hili baada ya kufanya maongezi na jamaa yangu fulani ndio ikaclick kuwa hili ni kweli, kwenye wasifu na historia ya Rais Samia inaanza alizaliwa wapi, aliposoma na alikopita mpaka kufikia Rais lakini siyo nyuma ya hapo kama ilivyokuwa kwa viongozi wengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…