Habari,
Kwa muda mrefu sasa nimejaribu kufahamu na kujua chimbuko na historia ya jina YANGA lakini sijapata jibu.
Pia napata tabu kujua tofauti kati ya Yanga na Young Africans kutumiwa na timu moja katika matukio ya mechi za kitaifa na kimataifa.
Basi kwa faida yangu nitafurahi kujua zaidi...