Ukisoma historia ya john okello ni mtu aliyezaliwa mazingira ya kimaskin kama ilivyo kwa jamii nyingi za ki-afrika za kipindi kile
wapigania uhuru wengi wa kiafrika kama nyerere, jomo kenyatta n.k walisoma mpaka ulaya kwa maana nyingine walipata exposure kubwa sana kabla hawajaanza kufanya...