Hadithi hii nikiikumbuka natokwa na machozi, hadithi ya kweli ilitokea huko mkoani Tanga.
Wakati nikiwa mdogo mwanzoni mwa miaka ya tisini, nilikuwa nikiishi kwa wazazi wangu waliokuwa wafanyakazi wa serikalini nilikuwa na dada zangu na wadogo zangu kadhaa, huko mkoa wa Tanga vijijini. Maisha...