Moja kwa moja kwenye mada.
Haya ni baadhi ya mafanikio hayati JPM aliyapata akiwa kama Rais wa JMT kwa awamu moja.
1. Ujenzi wa Miundombinu ya barabara, reli, viwanja vya ndege, vituo vya afya nk.
Ujenzi wa bwawa la umeme la Mwl. Nyerere ulihitaji uthubutu wa hali ya juu hasa ukizingatia vita...