Nimezaliwa mwaka 1970, na kupata Elimu yangu ya Msingi hapa hapa Dar Es Salaam na Sekondary Nje ya Dar Es Salaam katika shule zinazomilikiwa na Makafir. Kiukweli ilikuwa changamoto kidogo kutokana na Mzee wangu kuwa ni mtu anayeshika sana Dini.
Kwa wale watu walioishi Kimanga, Mji Mpya...