Kesho mwezi wa toba unaanza, ni kipindi cha kulia, kujuta na kutubu!
Naomba kuchukua nafasi hii kuwatakia mfungo mwema! Na Mungu akajibu Kila lililohitaji jema la moyo wako, kama ni ugonjwa, familia, mahusiano, masomo, changamoto za kiuchumi na mengine, basi Mungu akakuonekanie katika kipindi hiki.