Kampuni ya Kusambaza Umeme nchini Kenya imetangaza kutokea kwa hitilafu kubwa ya umeme usiku wa kuamkia leo Disemba 18, 2024 iliyosababisha kupotea kwa nguvu ya umeme nchini kote, isipokuwa maeneo ya Magharibi na eneo la Bonde la ufa kuanzia majira ya saa sita na robo usiku.
Kupitia taarifa...
Muda mfupi baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa Mtaa wa Kitunda - Machimbo kuna kero ya Umeme kuwa unakatika zaidi ya mara tatu kwa siku, Serikali imetoa ufafanuzi na kuwapa pole Wananchi wanaopitia kadhia hiyo.
Mwanachama huyo alidai Wananchi wanapata wakati mgumu ikiwemo...
Majira ya Asubuhi ya leo Desemba 4, 2024, iliripotiwa kuwa Treni ya Abiria ya Kisasa (SGR) iliyokuwa ikitokea Dar kuelekea Dodoma imekwama katika Stesheni ya Kilosa Mkoani Morogoro kwa kilichoelezwa kuwa ni hitilafu ya Umeme na hivyo kusababisha safari hiyo kushindwa kuendelea.
JamiiForums...
TAARIFA KWA UMMA
UFAFANUZI WA 'CRANE' YA NEW VICTORIA HAPA KAZI TU Mwanza, Tanzania.
Kuna taarifa iliyochapishwa na mtandao wa kijamii ikieleza kuharibika kwa mtambo wa kubebea mizigo (crane) wa meli ya New Victoria Hapa Kazi Tu. Taarifa hiyo imeeleza kuwa kadhia hii imekuwepo kwa kipindi cha...
Siku chache baada ya baadhi ya Wanachama wa JamiiForums.com kuandika maandiko ya kulalamikia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kutokana na changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Tabora ikiwemo Kata ya Tura Wilayani Uyui na maeneo mengine ya Manispaa...
MABADILIKO YA RATIBA YA NDEGE
YA MUMBAI-DAR ES SALAAM
04 Novemba 2024, Dar es Salaam
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inapenda kuutaarifu umma kuwa ratiba ya leo ya safari ya kutoka Mumbai kwenda Dar es Salaam imebadilishwa kutokana na hitilafu ya kiufundi.
Kwa kuzingatia kipaumbele chetu cha...
TAARIFA KWA UMMA HITILAFU YA TRENI YA KAWAIDA YA ABIRIA KUTOKA DODOMA KUELEKEA DAR ES SALAAM
Dar es Salaam, Tarehe 2 Agosti 2024
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaomba radhi kwa abiria waliosafiri kutoka Dodoma saa 2.15 usiku kuelekea Dar es Salaam Agosti 1, 2024 kwa treni ya mwendo kasi...
Rais Samia akiwasalimia wananchi katika uzinduzi wa treni Agosti 1, 2024
Rais Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi amezindua rasmi huduma za usafiri wa reli ya kisasa (SGR), treni iliyokuwa imebeba wageni walioshiriki uzinduzi huo wakiwamo mabalozi na viongozi mbalimbali wa kiserikali kutokea...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna utaratibu mbovu unaendeshwa na watu wanaohusika kukusanya madeni ya maegesho ya magari, mamlaka zimetolea ufafanuzi malalamiko hayo.
Mdau huyo alidai wahusika wanatega njiani, wanasimamisha gari na kumfuata Dereva wakiwa wengi katika...
Leo imeripotiwa kuwepo kwa kukatika kwa mawasiliano lililotokana na hitilafu baharini unapopita mkonga wetu wa Taifa.
Mitaandao yote ya mawasiliano imekuwa down kwa muda kiasi na hadi sasa network bado inasumbua.Hali hii imenifanya nijiulize je tuna backup za internet nje ya mfumo uliopita...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa majira ya 08: 40 usiku May 04 20224 na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme kwenye baadhi ya maeneo iliyounganishwa na Gridi hiyo.
TANESCO wanasema Juhudi za...
1 Kwa 1 kwenye swali watalaam international space station ikizimika ghafla baada ya damage yoyote yaani paa ika shut down nini kitatokea je ni kweli Mawasiliano ya internet na simu duniani yatakata au haina uhusiano wowote.
Bomba kubwa la maji linalogawa maji katika maeneo ya Kibanda cha mkaa, Kwa Msuguri, Temboni na suka, Lapata hitilafu hivyo kuna hatihati ya kukosa maji kwa siku hizi mbili tatu.
Habari ndugu wateja kutokana na Mvua kubwa imeathiri miundombinu ya Bomba kubwa eneo la kibanda Cha mkaa linaloleta...
basi
gridi ya taifa
hii
hitilafuhitilafu ya umeme
jitihada
kukosa
maeneo
makamu
mgao
mgao wa umeme
mkuu
nchi
nchi nzima
taifa
tanesco
umeme
waziri
waziri mkuu
Benki ya Biashara ya Ethiopia (CBE) inajitahidi kurejesha kiasi kikubwa cha pesa kilichochotwa na wateja baada ya "shida ya mifumo".
Baadhi ya Wateja waligundua mapema Jumamosi kwamba wangeweza kuchukua pesa taslimu zaidi ya walizokuwa nazo kwenye akaunti zao za CBE.
Zaidi ya Dola Milioni 40...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia wananchi wa mikoa ya Dar es salaam na Pwani kuwa kumekuwa na ukosefu wa huduma kutokana na hitilafu katika mfumo wa umeme wa Gridi ya Taifa.
Taarifa hiyo imetolewa leo Jumamosi Februari 3,2024 na kitengo cha...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme kwenye Mikoa iliyounganishwa na Gridi hiyo.
“Juhudi za kurejesha mfumo zinaendelea kwa haraka ili huduma iweze kupatikana...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake na Umma kuwa Kituo cha New Pangani kimepata hitilafu kwenye mitambo yake hali inayopelekea kituo kutozalisha megawati 68 na kusababisha upungufu wa umeme katika Gridi ya Taifa.
TANESCO imesema hali hii imeathiri upatikanaji wa...
Si kila kombora linalorushwa na Hamas huwa linafikia target, Kuna mengine yanashindwa kuvuka yanadondokea ndani ya Gaza, Kwa lugha ya kitaalamu inaitwa "Misfire".
Ifuatayo ni Video inayoonyesha kilichotokea, chanzo ni cha kuamika AL - JAZEERA
18:59 - Kombora linalorushwa kuelekea Israel lina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.