Wakuu habari za mda huu hili jambo nimelifiliria nikaona ni tatizo kubwa sana ambalo limetengenezwa kwenye jamii kwanini tunafundishwa kuogopa mgonjwa wa ukimwi ?
Yaani mtu akigundua unafukuzia mtu mwenye ukimwi utatishwa mno kuwa pale sio utaingua je wenye maambukizi hawapaswi kuoa au kuolewa...
Assalam Aleikum,
Nimekuja Festival toka ijumaa jioni sasa leo kwenye moja-mbili nimeopoa binti Afisa Burudani II nikajiburudishe ila Kondom adimu pharmacy hata maduka madogo ya mitaani (kuanzia stendi kuu, Kijenge hadi Njiro).
Wanadai mzigo ndio umepakiwa Dar unakuja na mabasi ya usiku...
Thread hii haipo kwaajili ya kupotosha au kuhamasisha imanipotofu dhidi ya H.I.V. UKIMWI upo na unaua!
Wapo baadhi ya watu ambao walishawahi kupata H.I.V Lakini Baadae wakaja kupona. Wengine huweka wazi Lakini wengine hawaweki wazi. Wengi wao hupona kwa Kutumia dawa za asili na wengine kwa njia...
Tuendelee kuwa na Tahadhari na Tusiojua afya zetu tukapime
NB: Kwanini positive results must be cofemd with uniGold & why not negative Result
Tuliokuwa nao tuwalinde Wengine na tuzingatie masharti.
“Shhhh! I am safe usijali”. Na mimi niliamini maana sio kwa utamu ule. Asubuhi niliaga vizuri nikapanda gari na kurudi Morogoro chuoni. Nilikaa nikisubiri anitafute, walau anipongeze hata kwa ujuzi niliokua nao, lakini hata sms hakutuma.
Nilikaa nikiamini labda alikua amechoka sana, au alikua...
Ni kweli kwasababu ya utandawazi, mambo yanabadilika. Namna za kuishi pia zinabadilika, mapokeo nayo kutoka kizazi hadi kizazi yanabadilika. Je hekima imesafiri? Au amepotea njia? Au maarifa ya utandawazi yamebadilisha maana ya hekima?
Je ni kweli kwa kizazi hiki mimba imekua ni ugonjwa hatari...
Siku za hivi karibuni moyo wangu umegubikwa na simanzi nzito. Simanzi inayoletwa na kumbukumbu za zamani zenye kuhuzunisha sana. Kumbukumbu za wapendwa wangu waliotangulia mbele ya haki. Kumbukumbu za mambo yote tuliyofanya pamoja ambayo yalifanya maisha kuwa na maana. Kumbukumbu hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.