hivi punde

  1. Mtaji wa Tsh 300,000 naweza kufanya mradi gani?

    Hello wana JF, chuo hivi punde, na nina pesa taslimu 300,000 je, nifanyie nini? Kuku naweza fuga,ila interview kila mara mkoani
  2. Saidoo anaaga Simba? Tazama hapa alichopost hivi punde

    Mchezaji wa Simba Saidoo Ntibazonkiza amekuwa kwenye midomo ya mashabiki wengi wa Simba wakiamini anapewa nafasi kubwa kuliko anavyostahili. Leo 22/04/2024 kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost maneno yanayoashiria kumalizika kwa jambo fulani. Ujumbo huo unasomeka "Kila lenye mwanzo hua na...
  3. U

    Iran yaishambulia Israel kwa makombora

    #LIVE UPDATES: SHAMBULIZI LA IRAN DHIDI YA ISRAEL Jumanne April 16, 2024 Jeshi la anga la Israel linakamilisha maandalizi ya mwisho Ili kuivamia Iran Israel yaitaarifu Marekani kuwa italipiza kisasi dhidi ya Iran Waziri Mkuu wa Uingereza Sunak kuzungumza na Waziri Mkuu Benjamin Netanyau...
  4. Mlio tayari na Matokeo ya Simba na Jwaneng Galaxy nipeni kwani Mimi Mganga wangu tegemezi kapofuka Macho hivi punde tu

    Nasikia kuna Mtu hatoamini leo na huenda Hayati Rais Mstaafu Mzee Mwinyi akasindikizwa na Wengi ama kutoka nchini Botswana au Tanzania. Tafadhali lielewe vizuri neno kuna Mtu hatoamini leo sawa?
  5. Tetesi za Fabrice Ngoma kutekwa na Simba

    Hizi habari si za kweli. Simba hawawezi mchukua Ngoma. Huyu anakuja cheza Yanga piga ua. Acheni kujitekenya na kucheka wenyewe.
  6. Hizi ndio sababu zinazofanya Makocha na Wachezaji wengi kuondoka Yanga

    1. Wachezaji hawakuwa Mali yao bali ni wa Mkopo kutoka kwa Wakata Congo. 2. Kukopwa sana Pesa na Viongozi na kulipwa kwa kusumbuana mno. 3. Kilichomtokea mwenzao mmoja kuhusu Mkataba wake, kunyanyasika na kudhalilika kumewachukiza wengi. 4. Wachezaji hawataki tena kuwa sehemu ya kushuhusdia...
  7. Tetesi: Rais Samia kubadilisha Baraza la Mawaziri hivi punde

    Kufuatia ripoti ya CAG kuonyesha upigaji mkubwa wa fedha za umma, Mh Rais Dokta Samia Suluhu Hassan anatarajia kutengua uteuzi wa mawaziri ambao wizara wanazozisimamia zilionyesha upigaji mkubwa. Aidha, wakurugenzi ambao halmashauri zao zilipewa hati chafu nao watafyekelewa mbali na panga la Mh...
  8. Hivi neno breaking news wamesema tusiseme habari mpasuko ila tuseme hivi punde au punde si punde?

    Punde Si punde
  9. Hivi mnajua Mwigulu hatanii?! Hivi punde ataanza kutoza tozo kwenye kila mfugo.

    "...kuna sekta mfano haijaguswa kabisa ambayo ni ya mifugo unakuta mfugaji ana ng'ombe zaidi ya elfu 15 je huyo naye tumjengee josho la mifugo wake bure?! Mimi natoka kwenye familia ya kifugaji naelewa ninacho kizungumza." Amesema Waziri Mwigulu.
  10. Waziri wa Ulinzi amjulisha Rais Putin kuhusu hasara za hivi punde za Ukraine

    Katika muda wa wiki mbili tu, Ukraine imepoteza karibu wanajeshi 5,500, wakiwemo zaidi ya 2,000 waliouawa, Waziri wa Ulinzi wa Urusi Sergey Shoigu alisema Jumatatu alipokuwa akitoa taarifa kuhusu mzozo kati ya Ukraine kwa Rais Vladimir Putin. Waziri alitoa ripoti yake ya pili kwa kiongozi wa...
  11. Waingereza wawili na Mmorocco waliokamatwa na jeshi la Urusi wahukumiwa kifo

    Waingereza wawili na mwanamume mmoja wa Morocco waliokamatwa na vikosi vya Urusi nchini Ukraine wamehukumiwa kifo, shirika la habari linalomilikiwa na Urusi RIA Novosti linaripoti. Aiden Aslin, 28, kutoka Nottinghamshire, Shaun Pinner, 48, kutoka Bedfordshire, na mtu wa tatu, raia wa Morocco...
  12. Daraja la Tanzanite kuzinduliwa hivi karibuni

    Nasikia kwa sasa zinafanyika taratibu za kujenga mnara wa uzinduzi. Picha ni kama zinavyojieleza. ================================== 17/11/2021
  13. Q

    #COVID19 Shirika la Afya Duniani (WHO) laitaka Tanzania kujiandaa kupokea chanjo ya Corona

    Siku moja baada ya Rais wa Tanzania, John Magufuli kutaka wizara ya afya kutokukimbilia chanjo ya Corona, Shirika la Afya Duniani WHO imeitaka nchi hiyo kujiandaa na chanjo ya Corona kama mataifa mengine duniani. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kwa njia ya mtandao, mkuu wa WHO...
  14. Sababu za ndani kabisa 'nilizopenyezewa' ambazo ndizo 'zimemfukuzisha' Kazi Kocha wa Yanga SC Zlatko ni hizi hapa....

    1. Zlatko amewakataa baadhi ya Wachezaji ambao Yanga SC imewaleta kwa Mbwembwe nchini na kudai hawana Uwezo 2. Zlatko amekataa Klabu ya Yanga Kuendekeza sana Ushirikina katika Mechi zake na kusema kuwa hakuzoea Upumbavu huo 3. Zlatko ameomba atafute Kocha Msaidizi kwakuwa ameona Kocha Juma...
  15. Uchaguzi 2020 Shinyanga: Salum Mwalimu amepata ajali eneo la Msoka akitoka kwenye kampeni za Urais jimbo la Msalala

    Tunapokea habari kuwa mgombea mwenza wa CHADEMA ndugu Salum Mwalim amepata ajali ya gari nadhani maeneo ya Msalala ==== Tumepata ajali mbaya sana eneo la Msoka Kata ya Ngogwa, Jimbo la Msalala tukitoka kwenye mkutano wa Kampeni jimbo la Msalala tukienda kwenye mkutano wa Kahama. Kwenye gari...
  16. Taarifa kwa wateja kuhusu system ya malipo kati ya vodacom na iPay Africa

    Hatimae serikali ya wanyonge imetia PINI kwenye system ya malipo kati ya vodacom na iPay Africa. Wale tuliokua tuna trade forex na kutumia M-pesa kama njia ya kuweka na kutoa pesa Toeni pesa zenu haraka sana. Hivi kwanini serikali hii hua inasubiri kwanza ione watu wanajipatia chochote ndio...
  17. DUDUWASHA-Based on true Story

    DUDU WASHA 1 Episode 1-4 -UTANGULIZI- Ni mwalimu mkuu wa kike katika shule ya msingi Tundu aliyefahamika kwa jina la Walda Nyaongo,,shuleni hapo alikuwa akiwafundisha somo la hesabu darasa la saba,,,akiwa anasahihisha madaftari ya wanafunzi ofisni kwake,,,kwavile ofisi yake ilikuwa karibu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…