Katibu Mkuu wa CCM leo tarehe 13 Septemba 2024 aliitisha kukao cha dharura na waandishi (selected) wa habari kuelezea msimamo wa CCM kuelekea maandamano ya amani ya Wananchi kupitia CHADEMA.
Amekutaka chama cha CHADEMA kusitisha maandamano iliyoyaitisha. Pia ikiwataka vyama vikae mezani...
Katika maisha Yako ukiachana na umauti ambao Kila nafsi itaonja., Ni jambo gani hutamani likutokee Mimi binafsi naogopa Radhi za wazazi na kupata maradhi makubwa kama AIDS na Kansa. Je wewe mwenzangu unaogopa nini lisikukute Jambo gani maisha?
Kipindi cha umri wa miaka 30 hadi 35 ni wakati wa changamoto nyingi maishani. Watu wanapitia hali ya kujuta na mawazo mengi kuhusu jinsi walivyotumia miaka yao ya 20's.
Baadhi ya majuto ya kawaida kwa watu wenye umri huu yanaweza kujumuisha:
Kutokuwekeza mapema:
Kutokujitunza kiafya...
Wasalaam
Usiku wa kuamkia leo niliota nimevamiwa na majambazi, nikaamka kuangalia saa ni saa tisa na dakika nne usiku. Nikatoka sebuleni nikaona mtu ananifanyia ssssssssssssshhhh kuashiria nikae kimya nisitoe sauti cha ajabu ila huyu mtu anafanana na Steven Seagal (sura yake) ghafla ile sura...
Mpaka sasa Mama amekopa Matrilioni mangapi ndugu zangu..!?
Lakini Matrilioni hayo ni kwa ajili ya nani!?? Yanaenda wapi hayo matrilioni!?? Mbona umasikini unazidi kutamalaki wazee.
Lakini mpaka masikini wa kutupa analipa haya madeni. Mbona maisha yanazidi kuwa ya kifukara?
Kuna watu hapa...
Korea kaskazini imeripotiwa kufanya majaribio yake makubwa zaidi ya makombora yake ya (Intercontinental ballistic missiles) makombora yenye uwezo wa kuvuka bara moja hadi jingine
Majaribio haya nimakubwa zaidi tangu Mara yamwisho kufanya hivyo mwaka 2017,
huku makombora hayo yakiwa na uwezo...
Hali ni mbaya sana uraiani. Watu wana hofu kubwa. Watu hawana imani na chanjo. Japokuwa wamepewa matumaini kuwa chanjo ya Jonhson ni single shot.
Watu wakiugua mafua sababu ya kibaridi cha kiangazi wanapata hofu ya kufa wanadai ni Corona.
Watu wanapiga nyungu lakini wana hofu ya kifo.
Hii...
Nina aina ya Biashara yangu ndo napambana kuanzisha wakati wowote ila nina wasiwasi sana na hii Biashara na wasiwasi sio kwenye kushindwa au kukosa soko hapana.
Wasiwasi wangu ni kwamba huenda makampuni makubwa yaka copy na kuanza kuzalisha na nikajikuta nafunga biashara.
Nina uhakika kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.