hoima

Hoima is a city in the Western Region of Uganda. It is the main municipal, administrative, and commercial center of Hoima District. It is also the location of the palace of the Omukama of Bunyoro.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    Bunge la Ulaya kuihoji TotalEnergies kuhusu athari za Bomba la Mafuta Hoima - Tanga (EACOP)

    Kampuni hiyo ya uzalishaji mafuta imetakiwa kufika mbele ya jopo la Wabunge wa Umoja wa Ulaya Oktoba 10, 2022 kujieleza kuhusu athari za Kimazingira na Ukiukaji wa Haki za Binadamu kwenye utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP). Mtendaji Mkuu wa Kampuni...
  2. J

    Anthony Mavunde aiomba Wizara ya Nishati kutoa matangazo ya fursa katika ujenzi wa Bomba la Mafuta-Hoima

    Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Antony Mavunde amempongeza Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan kwa jitihada kubwa za kuharakisha utiaji saini wa Mkataba wa ujenzi wa Bomba la Mafuta la Hoima - Tanga. Maana Mradi huo utatoa ajira zaidi ya elfu kumi na tano (15,000) kwa Watanzania. Hivyo...
  3. Q

    Ni mara ya 6 tunashuhudia utiaji saini bomba la mafuta Hoima - Tanga

    Aug 5. 2017 Museveni alikuja Tanga kuweka jiwe la msingi, baadaye JPM alienda Uganda kusaini, September 2020 Museveni alikuja Dar kutia saini, Museveni akaja tena Chato kusaini, April 11, 2021 Rais Samia akaenda Uganda kusaini, jana Mseveni kaja tena Dar kusaini. Dah! Kazi iendelee...
  4. Linguistic

    Ikulu Dar: Rais Yoweri Museveni na Rais Samia Suluhu washuhudia utiaji saini wa mikataba ya utekelezaji wa mradi wa bomba la mafuta

    Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni leo tarehe 20 Mei, 2021 atafanya ziara ya kikazi ya siku 1 hapa nchini kwa Mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Akiwa hapa nchini Mhe. Rais Museveni na Mhe. Rais Samia watashuhudia utiaji saini wa...
  5. N

    Fursa Kwenye Mradi wa bomba la Mafuta - Hoima Kwenda Tanga

    Ndugu wadau.. Kutokana na fursa zilizopo kwenye ujenzi wa bomba la mafuta toka Hoima kwenda Tanga.. Naomba kupata uzoefu wenu kuweza kujua namna ya kuweza kushiriki kwenye hiyo keki.. Ninahusika na biashara za bima .... ambavyo najua kutakuwa na fursa mbalimbali za kushiriki kwenye mradi...
  6. JOYOPAPASI

    Heko nyingine ya Rais Magufuli kwenye kupigania maslahi ya Tanzania: Kisa cha bomba la mafuta kutoka Hoima, Uganda hadi Tanzania

    HEKO NYINGINE YA RAIS MAGUFULI KWENYE KUPIGANIA MASLAHI YA TANZANIA: KISA CHA BOMBA LA MAFUTA KUTOKA HOIMA, UGANDA HADI TANZANIA Na Bwanku M Bwanku Jumapili Septemba 13 mwaka huu tulishuhudia tukio kubwa la kihistoria la kiuchumi, ustawi wa watu, undugu na maendeleo ya nchi yetu kwa kushuhudia...
  7. K

    Magufuli, Museveni wakubaliana kuufufua mradi wa Bomba la Mafuta

    July 31, 2020 Rais John Magufuli na mwenzake wa Uganda, Yoweri Museveni wamekubaliana kurejesha kwenye Ikulu zao mchakato wa kutandaza bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki. Bomba hilo linaloanzia Hoima, Uganda na kuishia Chongoleani, Tanga nchini Tanzania, limekwama baada ya kuwepo kwa...
  8. Q

    Mwenye Updates za Stiegler's Gorge, SGR na bomba la Hoima atupatie. Mbona kama mbwembwe zimepungua? Tunakwama wapi?

    Tuliambiwa SGR Dar to Morogoro ingeanza Dec mwaka jana, Stiegler's Gorge nayo kimya. Sio Msemaji wa serikali wala Polepole wala praise team wanaogusia, nini kimewapata. Bomba la mafuta toka Hoima Uganda hadi Tanga lilizinduliwa kwa mbwembwe tukaonywa atakayekwamisha atakiona, nani sasa...
  9. Roving Journalist

    Chongoleani, Tanga: Rais Magufuli na Museveni waweka la jiwe la Msingi mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima - Tanga

    Tayari Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli amefika eneo la tukio. Wapo pia Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa. Wapo pia viongozi waandamizi wa serikali akiwemo Naibu Spika wa...
Back
Top Bottom