Natazamwa kama mgongo
Wa kuegewa kama chombo
Nikitegemewa na watoto
Lakini kwa ndani mi' ni mtoto pia
Mtoto wa katikati
Njiapanda kati ya
Ukweli na uongo
Ukubwa na udogo ama
Upofu na uchongo
Ama pumbazo na mwongozo
Katikati ya uhalisia
Na mategemeo
Karibu na jitihada
Mbali na egemeo
Sina...
Haya mambo yanachanganya sana. Mtu anakufanyia ubaya halafu bado anakutaka radhi. Muda mwingine kosa lenyewe sio kosa linalotokea Kwa hatua Moja, unakuta Hadi kosa linalotokea limepita hatua kama tatu.
Sawa, unaamua kusamehe na kusema naachilia yapite , kosa linakuja linajirudia Tena ukipiga...
Kumradhi Ndugu yangu.
Nawaza kuanzisha biashara ila sijafikia muafaka mawazo yangu.
Sijazaliwa kwenye familia yenye umaridadi sana na biashara, ila hii haimanishi kwamba siwezi kufanya biashara.
Naamini naweza kuwa Maridadi sana kwenye Biashara.
Nahitaji data na mawazo Yako, Ndugu yangu...
Habari wapendwa natumai wote ni wazima wa afya! nawsalimu kijamhuri ya muungano wa tanzania....!
kiukweli sidhani kma naongea jambo geni au lisilojulikana, ila napenda tu kugusia kwa kuona halipungui zaidi ya kuongezeka.
Llugha ya kiswahili inamchanganyiko wa lugha kubwa ya biashara ambayo ni...
habari wandugu namshukuru mungu kwa afya njema yenye furaha, naomba ku share mawazo nanyi ikiwa kama sehemu ya maisha yetu ya kila siku.
Mimi naamini kila binadamu ni mkosefu kwa namna yake, na naamini yapo makosa ya kila siku ambayo tunayatenda asilimia kubwa kwa kila binadamu.
Natamani sana...
Wataalamu na watafiti wa elimu ya mendeleo ya watoto wadogo wanaamini kuwa zaidi ya asilimia 90 ya maendeleo ya ubongo hutokea kati ya kipindi cha umli wa mwaka mmoja (1) hadi miaka mitano (5). Hiki nikipindi muhimu sana kwa mtoto na hapa huwa anajua kipi kizuri kufanyiwa na kipi kibaya kufanyia...
Hii habari ineanza kutrend huko mitandaoni, Lampard huenda akaoneshwa mlango wa kutokea pale Stamford Bridge muda wowote kuanzia leo.
Iwapo atatimuliwa kazi, kocha gani ungependa aje arithi mikoba ya Super Frank?
=====
Chelsea have sacked Frank Lampard, with the former Borussia Dortmund and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.