"Sukari ni chakula, watanzania wa hali ya chini wanategemea Sukari kuweza kunywa Chai. Suala la Sukari ni suala la Usalama wa Nchi kwasababu chakula ni suala la kiusalama ndani ya Taifa. Hatutakiwi Kufanya Mchezo na Suala Linalogusa Usalama wa Nchi" - Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo...
Mbunge wa Jimbo la Ngara Mkoani Kagera, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro ameiomba serikali kupitia wizara ya kilimo kunusuru zao la Mahindi ambalo bei yake inashuka siku hadi siku.
Mhe. Ndaisaba ametoa kauli hiyo baada ya wananchi kuibua kero hiyo kwenye mkutano wa hadhara alioufanya Kata ya Ngara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.