LUHAGA MPINA amewasilisha kwa umma hoja zenye kurasa 95 kuhusu suala la vibali vya sukari lakini nimesikiliza press ya bosi wa bodi ya sukari sijaona akijibu hoja badala yake kuruka ruka.
Hoja za Mpina ziko kwenye kurasa 95 tunaomba majibu ya hizo hoja kama ni za uongo au za kweli weka matrix...
Jana Mhe. Mpina alifukuzwa Bungeni na kutakiwa kutohudhuria mikutano 15 ya Bunge. Tulisoma HOJA zake lakini uamuzi ukafikiwa kuwa afukuzwe. Kwa kuwa nchi hii inaongozwa kwa kufuata UTAWALA BORA, pia inafuata sheria, kanuni na taratibu hivyo ninaomba Wanasheria nguli watufafanulie hoja za Mpina...
Ninakupongeza sana Mhe. Mpina kwa taarifa yako iliyo na ukweli ndani yake na kwa kweli umetufumbua maacho wananchi jinsi tunavyonyonywa na watu wachache wasio waaminifu.
(1) Sukari tunayouziwa wachache wameweka chao cha juu Tshs.1,000 kama alivyotamka Tundu Lissu.
(2) Kampuni za stationery...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.