Ukuaji wa watoto hupitia hatua nyingi tangu kuzaliwa kwao. Mabadiliko haya huhusisha tabia na namna ambavyo mifumo ya mwili hufanya kazi.
Ukuaji wa watoto huwa haufanani, lakini wengi huanza kuota meno wakiwa na umri wa kati ya miezi 4 hadi 7. Tofauti na jinsi ambavyo wazazi wengi huamini...