homa nyakati za usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hii hali ya kujisikia homa nyakati za usiku hasababishwa na nini?

    Kila usiku ninapokaribia kulala, napata hali kama ya homa na nahisi baridi. Kichwa kinakuwa kizito kana kwamba nataka kutapika, lakini siwezi kutapika. Wakati mwingine ninajisikia kama kizunguzungu na hali hii huambatana na hofu kali isiyoelezeka. Hali hii imenitesa sana na imenifanya nisiwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…