Kumekuwepo na taarifa pia matangazo mengi kuhusu dawa za kutibu ugonjwa wa homa ya ini.
Je, ni kweli ugonjwa huu unatibika na kupona kabisa?
Je, ni sahihi dawa mbadala ni Bora zaid kuliko za hospital?
Hawa mademu wa telegram au mabwana zenu mtaani wasiwa tengenezee uhalali wa kufanya sex kavu kavu kisa tu mtapima vvu siku hio moja.
Sawa kaswende inatabika, ila utagharamika, unaweza muathiri na partner wako mwingine, na ni mara ngapi utakuwa unaumwa magonjwa haya na kujitubu?
Sawa hana...
Niulize chochote kuhusu homa ya ini. Kiufupi homa ya ini ni ugonjwa unaosabishwa na virusi aina ya 'Hepatitis A, B, C, D & E). Maswali yanaweza kujikita kwenye B na C kutokana kupelekea kusababisha saratani ya ini(Hepatocellular carcinoma). Mpaka sasa 'Hep B' haina tiba kamili ya kuiondoa...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limeitisha Mkutano wa Dharura kujadili hali ya usambaaji wa Homa ya Nyani (Mpox) ambapo Takwimu kutoka kwa Kituo cha Kudhibiti Magonjwa cha Afrika (CDC) zinaonesha ongezeko la 160% Homa hiyo ikilinganishwa na 2023.
Takwimu zimeonesha tangu Januari 2024 hadi Julai...
UGONJWA WA HOMA YA INI
Huu ugonjwa wa homa ya ini now unazidi kuongezeka na kwa taalifa ni kwamba ukiupata sio rahisi kujua kama unao huu ugonjwa.
Maambukizi yake ni simple sana, yani mtu wa homa ya ini akigusana na wewe lile jasho lake pekee unakuwa tayari usha upata tayari.
Unaweza kuishi...
MAADHIMISHO YA SIKU YA HOMA YA INI KITAIFA KUFANYIKA DAR ES SALAAM
-RC Chalamila awataka wakazi wa Mkoa huo na watanzania kujitokeza kwa wingi
-Asema maadhimisho hayo yanaanza Julai 25 hadi 28,2024
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 25,2024 ametoa taarifa kwa umma...
Shirika la Afya Ulimwenguni WHO limeonya kuwa zaidi ya watu 3,500 hufariki kutokana na virusi vya homa ya ini kila siku na kuongeza idadi ya wanaoathirika duniani.
Kulingana na ripoti ya WHO iliyotolewa sanjari na Mkutano wa Kilele wa Ugonjwa wa homa ya Ini utakaofanyika nchini Ureno wiki hii...
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) itaanzisha huduma ya upandikizaji Ini ifikapo mwaka 2025 ikiwa ni mwendelezo wa azma ya Serikali kuhakikisha kwamba huduma za ubingwa bobezi zinapatikana nchini.
Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa MNH, Prof. Mohamed Janabi wakati akifungua mafunzo ya...
Siku ya Ini Duniani huadhimishwa tarehe 28 Julai ya kila mwaka, leko kuu ikiwa ni kuelimisha na kuikumbusha jamii katika athari za ugonjwa huu, jinsi unavyoambukizwa na namna ya kujikinga.
Takwimu za Shirika la Afya Duniani kupitia taarifa ya Homa ya Ini yam waka 2021 zinaonesha kuwa, mwaka...
Mkurugenzi wa Huduma za Tiba kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. John Rwegasha ametoa taarifa hiyo na kuongeza kuwa idadi hiyo inaweza kuwa zaidi kwa makundi hatarishi wakiwemo wanaojidunga Dawa za, Kulevya
Aidha kwa mujibu wa Takwimu za MNH, Saratani ya Ini ni ya pili kwa...
Ini ni Kiungo Muhimu Sana kwenye mwili wa binadamu ambacho hufanya kazi zaidi ya 500.
Kutokana na sababu mbalimbali Kama matumizi ya dawa yasiyo zingatia ushauri wa wataalam, unywaji mkubwa wa pombe pamoja na maambukizi yanayo sababishwa na virusi, ini hupata shida ya Kuvimba na kutengeneza...
Homa ya Ini (Hepatitis) ni Ugonjwa unaosababishwa na Virusi vya aina mbalimbali. Virusi vinavyosababisha Homa Ya Ini vipo katika makundi matano: A, B, C, D na E
Maadhimisho ya Mwaka 2022 yamejikita katika uhitaji wa kuleta Huduma za Homa ya Ini karibu zaidi na Vituo vya Afya na Jamii ili...
Kuumwa ni ibada na usimuombee mtu ugonjwa ila ukweli usemwe
Ulaya wachezaji wote kabla ya usajili hupimwa afya ila huku tumeona watani wanashusha tu vifaa, hatujaona wala kusikia wakipimwa afya.
Mpira sio mchezo wa draft au karata, mpira ni vita unatumia energy nyingi sana uwanjani.
Sasa huyu...
Hepatitis b (Homa ya Ini) ni maambukizi ya virusi kwenye Ini(Liver) .
Ini likiambukizwa hatuna matibabu kamili na yakueleweka Tanzania. Hepatitis (Homa ya Ini) imekuwa tishio kwa miaka hii na hasa kwa vijana.
JINSI HOMA YA INI INAVYOENEA
1.Ngono isiyo salama
2.Kuchangia nguo(Jasho na maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.