homa ya ini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Je, ni kweli ugonjwa wa homa ya ini unatibika na kupona kabisa?

    Kumekuwepo na taarifa pia matangazo mengi kuhusu dawa za kutibu ugonjwa wa homa ya ini. Je, ni kweli ugonjwa huu unatibika na kupona kabisa? Je, ni sahihi dawa mbadala ni Bora zaid kuliko za hospital?
  2. Sawa mtapimana VVU na kile kifaa, vipi kuhusu UTI sugu, gonorrhea, homa ya ini, etc? Tuache ushamba tuvae condoms

    Hawa mademu wa telegram au mabwana zenu mtaani wasiwa tengenezee uhalali wa kufanya sex kavu kavu kisa tu mtapima vvu siku hio moja. Sawa kaswende inatabika, ila utagharamika, unaweza muathiri na partner wako mwingine, na ni mara ngapi utakuwa unaumwa magonjwa haya na kujitubu? Sawa hana...
  3. M

    Niulize chochote kuhusiana na ugonjwa wa Homa ya Ini

    Niulize chochote kuhusu homa ya ini. Kiufupi homa ya ini ni ugonjwa unaosabishwa na virusi aina ya 'Hepatitis A, B, C, D & E). Maswali yanaweza kujikita kwenye B na C kutokana kupelekea kusababisha saratani ya ini(Hepatocellular carcinoma). Mpaka sasa 'Hep B' haina tiba kamili ya kuiondoa...
  4. WHO yaitisha kikao cha dharura kujadili kasi ya kuenea kwa Homa ya Nyani Afrika na kwingineko

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limeitisha Mkutano wa Dharura kujadili hali ya usambaaji wa Homa ya Nyani (Mpox) ambapo Takwimu kutoka kwa Kituo cha Kudhibiti Magonjwa cha Afrika (CDC) zinaonesha ongezeko la 160% Homa hiyo ikilinganishwa na 2023. Takwimu zimeonesha tangu Januari 2024 hadi Julai...
  5. Ugonjwa wa homa ya ini unazidi kuongezeka, ukiupata sio rahisi kujua kama unao

    UGONJWA WA HOMA YA INI Huu ugonjwa wa homa ya ini now unazidi kuongezeka na kwa taalifa ni kwamba ukiupata sio rahisi kujua kama unao huu ugonjwa. Maambukizi yake ni simple sana, yani mtu wa homa ya ini akigusana na wewe lile jasho lake pekee unakuwa tayari usha upata tayari. Unaweza kuishi...
  6. Dar: RC Chalamila awataka Wananchi kwenda kupima Homa ya ini bure viwanja vya Sinza Darajani

    MAADHIMISHO YA SIKU YA HOMA YA INI KITAIFA KUFANYIKA DAR ES SALAAM -RC Chalamila awataka wakazi wa Mkoa huo na watanzania kujitokeza kwa wingi -Asema maadhimisho hayo yanaanza Julai 25 hadi 28,2024 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 25,2024 ametoa taarifa kwa umma...
  7. WHO: Watu 3500 hufariki kwa homa ya ini kila siku

    Shirika la Afya Ulimwenguni WHO limeonya kuwa zaidi ya watu 3,500 hufariki kutokana na virusi vya homa ya ini kila siku na kuongeza idadi ya wanaoathirika duniani. Kulingana na ripoti ya WHO iliyotolewa sanjari na Mkutano wa Kilele wa Ugonjwa wa homa ya Ini utakaofanyika nchini Ureno wiki hii...
  8. Wizara ya Afya imetangaza Shindano la kuandaa Jina na Nembo ya Mpango Jumuishi wa UKIMWI, Homa ya Ini na Magonjwa ya Ngono

  9. Hospitali ya Taifa Muhimbili kuanza huduma ya upandikizaji wa Ini ifikapo Mwaka 2025

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) itaanzisha huduma ya upandikizaji Ini ifikapo mwaka 2025 ikiwa ni mwendelezo wa azma ya Serikali kuhakikisha kwamba huduma za ubingwa bobezi zinapatikana nchini. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa MNH, Prof. Mohamed Janabi wakati akifungua mafunzo ya...
  10. R

    Maadhimisho ya Siku ya Homa ya Ini Duniani: Una ufahamu wowote juu ya ugonjwa huu na jinsi ya kujikinga?

    Siku ya Ini Duniani huadhimishwa tarehe 28 Julai ya kila mwaka, leko kuu ikiwa ni kuelimisha na kuikumbusha jamii katika athari za ugonjwa huu, jinsi unavyoambukizwa na namna ya kujikinga. Takwimu za Shirika la Afya Duniani kupitia taarifa ya Homa ya Ini yam waka 2021 zinaonesha kuwa, mwaka...
  11. Ripoti Muhimbili: Wanaume 4 hadi 8 wanaishi na Maambukizi ya Virusi vya Homa ya Ini

    Mkurugenzi wa Huduma za Tiba kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. John Rwegasha ametoa taarifa hiyo na kuongeza kuwa idadi hiyo inaweza kuwa zaidi kwa makundi hatarishi wakiwemo wanaojidunga Dawa za, Kulevya Aidha kwa mujibu wa Takwimu za MNH, Saratani ya Ini ni ya pili kwa...
  12. SI KWELI Kunyonya lips za mwanamke aliyepaka lipshine hupelekea ugonjwa wa Homa ya Ini

    Hivi kuna ukweli ndani yake kuwa wanaume wanaonyonya lips za wanawake waliopaka lipshine, hupelekea kupatwa na Hepatisis B?
  13. Ugonjwa wa homa ya ini

    Ini ni Kiungo Muhimu Sana kwenye mwili wa binadamu ambacho hufanya kazi zaidi ya 500. Kutokana na sababu mbalimbali Kama matumizi ya dawa yasiyo zingatia ushauri wa wataalam, unywaji mkubwa wa pombe pamoja na maambukizi yanayo sababishwa na virusi, ini hupata shida ya Kuvimba na kutengeneza...
  14. Julai 28: Siku ya Homa ya Ini Duniani (World Hepatitis Day)

    Homa ya Ini (Hepatitis) ni Ugonjwa unaosababishwa na Virusi vya aina mbalimbali. Virusi vinavyosababisha Homa Ya Ini vipo katika makundi matano: A, B, C, D na E Maadhimisho ya Mwaka 2022 yamejikita katika uhitaji wa kuleta Huduma za Homa ya Ini karibu zaidi na Vituo vya Afya na Jamii ili...
  15. M

    Bigirimana alifeli vipimo vya afya Ulaya, anaumwa homa ya ini

    Kuumwa ni ibada na usimuombee mtu ugonjwa ila ukweli usemwe Ulaya wachezaji wote kabla ya usajili hupimwa afya ila huku tumeona watani wanashusha tu vifaa, hatujaona wala kusikia wakipimwa afya. Mpira sio mchezo wa draft au karata, mpira ni vita unatumia energy nyingi sana uwanjani. Sasa huyu...
  16. Homa ya Manjano (Homa ya Ini): Zijue athari, kinga na tiba za ugonjwa huu

    Hepatitis b (Homa ya Ini) ni maambukizi ya virusi kwenye Ini(Liver) . Ini likiambukizwa hatuna matibabu kamili na yakueleweka Tanzania. Hepatitis (Homa ya Ini) imekuwa tishio kwa miaka hii na hasa kwa vijana. JINSI HOMA YA INI INAVYOENEA 1.Ngono isiyo salama 2.Kuchangia nguo(Jasho na maji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…