Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema: “Taarifa za ufuatiliaji wa ugonjwa huu kutoka kwa wataalam wetu walioko Mkoani Lindi zinaonesha kuwa toka tarehe 18 Julai 2022 hadi sasa hakuna mgonjwa mpya aliyeonesha dalili za ugonjwa huu. Hivyo hadi kufikia asubuhi ya leo tarehe 29 Julai 2022, idadi ya...
Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Prof. Hezron Nonga, akizungumza jana na waandishi wa habari jijini hapo, alisema panya sio mnyama anayetakiwa kuliwa na binadamu kwa kuwa ni benki ya vimelea vya ugonjwa huo.
Aidha, wamesisitizwa kununua nyama iliyochinjwa kwenye...
Wana Bodi tumesikia kuhusu ugonjwa wa Homa ya Mgunda hiki ni kipimo kingine kwa Wizara ya Afya, NIMR pamoja na Wataalam wa Afya nchini Kama ifuatavyo
1. Kuweza kutafuta ukweli wa ugonjwa huu pamoja na dalili zake
2. Kujua kutofautisha kati ya Siasa, Sayansi na Utaalamu wa kada ya Afya na...
HOMA YA MGUNDA NI NINI?
Ni Ugonjwa ambao huambukizwa kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu. Homa ya Mgunda 'Leptospirosis' husababishwa na Bakteria aina ya 'Leptospira interrogans'
Dalili za HomaYaMgunda ni pamoja na Homa, Maumivu ya Kichwa na Misuli, Uchovu, Mwili kuwa na rangi ya njano...
Baada ya Serikali ya Tanzania kuweka wazi kuwa ugonjwa uliokuwa haujlikani na kusababisha vifo vya watu kadhaa Kusini mwa Tanzania hasa Mkoani Lindi ni homa ya Mgunda.
Kitaalam ugonjwa huo unaitwa Leptospirosis au Field Fever.
Homa ya Mgunda au Leptospirosis ni nini?
Leptospirosis ni ugonjwa...
Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu amesema kuwa upimaji wa sampuli za wagonjwa waliokuwa wakiugua Ugonjwa Usiojulikana katika Wilaya ya Ruangwa katika Mkoa wa Lindi umethibitisha mlipuko huu kuwa wa ugonjwa wa Leptospirosis, Field Fever kwa lugha ya Kiswahili inajulikana kama Homa ya Mgunda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.