Mpox ama monkey pox. Ni homa inayotokana na nyani.
Inasemekana hadi sasa walioathirika ni 19,919 huku waliokufa 975 huko Congo.
Dalili zake upele, homa, mgongo kuuma, kukosa nguvu, kichwa kuuma, kuwashwa kwa koo.
Inaaambukizwa kwa kula nyama ya nyani alie na hatari hio, kugusana kawaida na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.