honda fit

  1. manyanga21

    Msaada wa ushauri

    Msaada nina honda fit first generation, gari inamiss na kuishiwa nguvu kisha inazima na kuwaka taa ya check engine na taa ya betri baada ya muda inawaka , changamoto inaweza kuwa nini wajuzi na wazoefu Nilipotazama feni ya ac haiwaki,ila feni ya engine inawaka fundi akanishauli nisitumie ac...
  2. M

    Car4Sale 2008 Honda Fit (EJW) Inauzwa TZS. 13m

    YOM: 2008 Engine Capacity: 1300cc Automatic Petrol 107,000 Kms From Japan (Imesajiliwa tarehe 18/11/2024) . Price: TZS. 13m . Call: 0717 650800
  3. B

    Ushauri kati ya gari aina ya Nissan Note, Honda Fit na Mazda Demio

    Habari zenu wana JF, nataka kununua gari kutoka Japan, ila sijawahi kumiliki gari lolote, nilipo angalia mtandaoni niliona magari niliyotaja hapo juu yako affordable kwangu,je ninunue gari gani kati ya hayo. NB. Gari ni la kwenda nalo kazini 3km per day, na pia kabisan. Karibuni kwa ushauri...
  4. Mad Max

    Honda Fit ni kagari kazuri nje na ndani, bei rafiki, mafuta kananusa, lakini watu hawakanunui. Kwanini?

    Sijui kwanini Watanzania wameikataa hii gari kutoka Japan, Honda Fit. Siongelei Honda Fit za miaka ile zina shape za ajabu, naongelea hii Honda Fit Hybrid ya mwaka 2014 hadi 2017, ambayo ni Fit 3rd generation. Hii gari ni nzuri kuanzia nje muonekano wake. Ni kadogo, karibia sawa na IST (2nd...
Back
Top Bottom