Honda stepwagon,ninavutiwa na muonekano wake .
Kama kuna mtu anaitumia humu anaweza kutupatia uzoefu wake na pia changamoto zake kama zipo lakini pia upatikanaji wa vipuri kwa hapa Tanzania ukoje ukizingatia hapa nchini wengi wanapendelea magari ya Toyota.
Karibu kwa yeyote mwenye taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.