Watu wanaodaiwa kuwa ni Askari wa Jeshi Polisi mkoa wa Dodoma wamefanya upekuzi katika nyumba ya mwanachama na kigogo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Honesty Msacky nyumbani kwake Nzuguni B kwa madai ya kuwa anamiliki silaha kinyume na taratibu za nchi.
Akizungumza baada ya upekuzi...