honga

  1. LIKUD

    Hao wanawake mnaowahonga hovyo hakikisheni mnawaoa wenyewe

    Sio mnawazoesha ujinga halafu wanakuja kutusumbua wengine.🤣🤣🤣🤣
  2. B

    GEITA: Amteka mpenzi wake akitaka arudishiwe hela alizohonga, amuua

    Amteka mpenzi wake akitaka arudishiwe hela alizo honga, amuua Jeshi la Polisi Mkoani Geita linamshikilia mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 30 kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake aitwaye Esta John (28) mkazi wa Ibamba Wilaya Bukombe Mkoani humo ambaye kabla ya kifo chake alitekwa nyara na mpenzi...
  3. Fohadi

    Hebu vuta picha ingekuwaje?

    Mara nyingi huwa tunasikia raha ya mapenzi inawafanya watu wanachizi na kufanya mambo ambayo watu wengine wanabaki wakishangaa. Mara huyu kahonga gari, mara huyu haelewani na familia kisa mwanamke. Hivi ingekuwaje kama ule utamu ambao wanaume huwa tunaupata wakati wa ejaculation (utamu wa bao)...
Back
Top Bottom