Nikiwa nataka kujua kuhusu nchi huwa natembelea page zenu IG na X. Hamna upande mko upande wa wananchi. Kipindi ambacho habari za kijamii zimekuwa zikikwepwa na vituo vingi nyie mmekuwa mkituhabarisha na kutafuta suluhu.
Shida za maji, barabara mbovu, umeme, huduma mbovu za afya, mashuleni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.