hongera jamiiforums

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums (JF) mpewe maua yenu kwa habari mnazopost, utafiti na kutokuwa Chawa. Hakuna anayewazidi

    Nikiwa nataka kujua kuhusu nchi huwa natembelea page zenu IG na X. Hamna upande mko upande wa wananchi. Kipindi ambacho habari za kijamii zimekuwa zikikwepwa na vituo vingi nyie mmekuwa mkituhabarisha na kutafuta suluhu. Shida za maji, barabara mbovu, umeme, huduma mbovu za afya, mashuleni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…