Habari zenu wote?
Siku kadhaa nyuma nimejikuta kwenye wakati mgumu mno. Hivi karibuni niliwiwa kwenda kupima kama sehemu ya kuifahamu afya yangu,
Majibu yangu hayakuwa ya kufurahisha, nilichanganyikiwa na nikajichukia mno. Nikajutia nyakati zote za kukutana bila kinga na kujikuta nimechukia...