horoya

Horoya Athletic Club, also known as Horoya Conakry or H.A.C., is a Guinean football club based in Conakry, Guinea. The club plays in the Ligue 1 Pro, the top tier in the Guinean football league system. It was founded in 1975.

View More On Wikipedia.org
  1. SAYVILLE

    Raja AC yashtushwa na kipigo alichotoa Simba kwa Horoya

    Dunia nzima bado inajadili tetemeko la Samba Loketo lililotokea siku ya Jumamosi mjini Dar es Salaam. Moja wa mahasimu wakubwa wa Simba SC barani Afrika, Raja AC nao wameonekana kushtushwa na ubora na wingi wa magoli ambayo Simba walimtandika Horoya. Tukumbuke Raja alimfunga Horoya kwa shida...
  2. SAYVILLE

    Tujadili ubora wa magoli ya Simba vs Horoya

    Kutokana na wingi wa magoli, naona hatujapata muda hasa wa kuyazungumzia vizuri ubora wa magoli waliyofunga Simba. Nimeona ni vizuri tulijadili hili. Kwa upande wangu nitazungumzia hasa magoli mawili. Goli la 6 ni moja ya magoli bora niliyowahi kuona timu ya Tanzania inafunga. Angalia wingi na...
  3. Horoya fan

    Ukweli ni kuwa Horoya ni Timu mbovu sana. Simba ilipiga Bomu mochwari

    Mimi nikiwa shabiki wa damu wa Horoya Football Club nakiri hadharani kuwa hapa hakuna timu. Japo tupo klabu bingwa lakini klabu yetu imejichokea sana, hatuna wachezaji wowote wa maana wanaojua hata kupiga pasi mbili tatu, tumejaza wachezaji warefu wasiojua kucheza mpira. Niwaambie tu Simba kuwa...
Back
Top Bottom